Breaking

Post Top Ad

Thursday, April 14, 2022

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI USIKU HUU..ROSEMARY SLAA APELEKWA MSD


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Rosemary William Slaa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD) na Bw. Mavere Ali Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Mradi wa USAID Global Health Suppy Chain Technical Assistance huku akimteua Bw. Raymond William Mndolwa kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages