WIZARA YA HABARI,MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI YASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Watumishi wanawake wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakiwa katika maandamano walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambapo kimkoa yamefanyika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma.
Watumishi wanawake wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakipita kwa mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka wakati wa maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani yaliyofanyika leo March 08, 2022 ambapo kimkoa yamefanyika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma.
Watumishi wanawake wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakifatilia hotuba mbalimbali wakati wa maadhimisha ya siku ya wanawake duniani ambapo kimkoa yamefanyika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma.
Watumishi wanawake wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wakiwa katika  maadhimisho ya picha ya pamoja mara baada ya kushiriki maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambapo kimkoa yamefanyika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments