KOCHA WA TAIFA STARS ATANGAZA KIKOSI KIPYA


Leo Machi 15,2022 Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Kim Poulsen ametangaza rasmi orodha ya wachezaji ambao wataingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya kirafiki zilizo kwenye kalenda ya FIFA.


Nyota hao ni pamoja na:-Aishi Manula wa Simba

Metacha Mnata wa Polisi Tanzania

Aboutwalib Mshery wa Yanga hawa ni kwa upande wa makipa.

Pia wengine ni pamoja na Shomari Kapombe wa Simba

Israel Mwenda wa Simba

Haji Mnoga wa Weymouth ya Uingereza

Dickson Job wa Yanga

Bakari Mwamnyeto wa Yanga

Lusajo Mwaikenda wa Azam FC

Abdulrazack Hamza wa Namungo

Mohamed Hussein wa Simba’

Nickson Kibabage wa KMC

Farid Mussa wa Yanga

Novatus Dismas wa Beltar Tel Aviv Bat Yam ya Isarel

Mzamiru Yassin wa Simba

Jonas Mkude wa Simba

Zawad Mauya wa Yanga

Aziz Andambwile wa Mbeya City

Simon Msuva wa Wydad ya Morocco

Kelvin John wa Genk ya Ubelgiji

Feisal Salum wa Yanga

Ben Starkie wa Spalding ya Uingereza

Mbwana Samatta wa Antwerp ya Ubelgiji

Tepsi Evance wa Azam FC.

Relliats Lusajo wa Namungo

Kibu Dennis wa Simba

George Mpole wa Geita Gold

Ibrahim Joshua wa Tusker ya Kenya.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments