ABDUL NONDO AFUTIWA MASHTAKAMahakama ya Rufani Tanzania (Iringa) imefuta kesi iliyokuwa ikimkabili Abdul Nondo, baada ya ofisi ya DPP kueleza kuwa haina nia ya kuendelea na kesi hiyo.

DPP alikata rufaa baada ya Mahakama Kuu kumpa ushindi Nondo ambaye alituhumwa kwa kuchapisha na kutoa taarifa za uongo.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments