TFF YATHIBITISHA GSM KUJIONDOA UDHAMINI LIGI KUU YA NBC
Monday, February 07, 2022
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa leo Feb 07, 2022 limepokea barua ya kuvunja mkataba wa udhamini mwenza wa Ligi Kuu ya NBC kutoka GSM “Tunaifanyia kazi barua hiyo na tutatoa taarifa kwa Wadau wa mpira wa miguu kuhusu suala hilo"
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin