Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu ya Vodacom Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Vodacom Tanzania Plc, Jaji (Mstaafu) Thomas Mihayo mara baada ya Kuhitimisha ziara Ofisi za Makao Makuu ya Kampuni hiyo. Picha Na: TCRA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akipata maelezo ya namna huduma kwa wateja inavyotolewa katika Kampuni ya Mawasiliano. Picha na: TCRA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akipokelewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel. Picha na: TCRA
Waziri Wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akipata Maelezo ya namna Huduma kwa Wateja inavyotolewa katika Kampuni ya Mawasiliano. Picha Na: TCRA
Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527
Post a Comment