Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), limetangaza gharama mpya za kuunganisha umeme, ambapo vijijini ni shilingi 27,000 bila kujali umbali wala idadi ya nguzo