RAIS MWINYI AMTUMBUA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBARRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar, Dk. Saleh Yusuf Mnemo.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi wa Zanzibar, Mhandisi Zena Said, utenguzi huo umeanza leo, Januari 3, 2022.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments