MAISHA YA NDOA YALINISHINDA, KILA NILIPOOLEWA NILIACHWA KWENYE UPWEKE

 
Nilikuwa mwanamke aliyetamanika na mwenye umbo lililofanya wanaume wengi kunitamani kwani nilikuwa katika miaka ya kuonyesha uzuri wangu. 

Kando na sura nzuri na umbo la kutamaniwa, nilikuwa mfanyibiashara ambapo nilikuwa nauza bidhaa za kujipodoa ambapo biashara ile ilikuwa imenoga ajabu kwa hivyo pesa zilikuwa kwani zilikuwa ni sabuni ya roho.

 Nilijiambia kuwa ningefikisha umri wa miaka ishirikni na saba ilikuwa ni fursa muhimu kupata mchumba na kuendeleza maisha kwani nilitamani kuwa mama kwa wakati mmoja. 

Nilifanikiwa kupata mume nikiwa na miaka hiyo ishirini na saba. Tulichumbiana na tayari tulikubaliana kuwa mume na mke. Ndoa ile ilikuwa yenye kutamaniwa kwani ilikuwa ni mara ya kwanza kuchumbiana kwa hivyo mapenzi yalikuwa yamenoga. 

Baada ya miezi kadhaa ugomvi ulizuka baina yangu na mume wangu na hapo tukakosana na ikawa ni mwisho wa ndoa ile. Baada ya miezi kadhaa snilijitoza katika ndoa nyingine ambapo hapo nilipatana na mume niliyeona ndiye haswa aliyetengewa mimi. Wakati ule wote nilikuwa natumia dawa za upangaji uzazi kwani nilitaka kuchunguza kwanza ile niweze kupata mtoto na wanaume ambao nilipatana nao kila mara.

 Uhusiano ule ulikuwa mzuri kwani bwana Dan alikuwa na hela kitu ambacho kiliongezea nakshi zaidi katika uchumba wetu. Nilimpeleka hata kwa wazazi wangu na nikamtambulisha kama kipenzi cha maisha yangu. Wazazi walifurahia mweleekea wangu huku wakitubariki kwani maisha ya ndoa yalikuwa ni magumu jinsi walivyosema.

 Baada ya meizi kadhaa na Dan alianza kubadilisha tabia na hata wakati mwingine akawa ankuja nyumbani. Ugomvi wangu nay eye ulianzia pale. Wakati mwingine hata alipigiwa simu na wanawake mbalimbali tukiwa kwenye chumba cha kulala. Sikufurahia swala lile na kila nilipokejeli tabia ile alifoka ajabu.

 Siku moja nilimfumania chumbani kwetu akiwa na mwanamke wakiwa kwenye hali ya kupeana mapenzi. Sikusita kwani pale nilichukua mizigo yangu na kuondoka katika ndoa ile kwani sikuwa tayari kuwa mke mwenza kwa wakati wowote. 

Baada ya mwaka mmoja tena nilijipata kwenye uhusiano mwingine hapa nililia kwa uchungu kwani niliona kama ilikuwa ni laana ambayo ilikuwa ikinifuata kwani ndoa zangu mbili tayari zilikuwa zimevunjika kabla niingie kwa ndoa hii mpya. 

Nilitafuta ushauri jinsi ningeboresha ndoa ile isije kuvunjika kwani nilikuwa nimechoka kila mara ndoa nilizojipata ndani kuvunjika kila mara. Tulikaa kwenye ndoa ile na mchumba wangu kwa takriban miezi minane na hapo mambo yakaanza kuibukia.

 Alilalamika kwamba mimi sikuwa mwaminifu kwenye ndoa ile kwani wakati mwingine nilipigiwa simu na wateja wangu wanaume wakitaka bidhaa.

 Jambo lile lilinishangaza na nikafahamu fika ndoa ile ilikuwa katika harakati za kuvunjika pia. Mume wangu alianza hata kususia chakula nilichoipika. Alikataa hata kutimiza majukumu ya ndoa kama vile kutosheleza mahitaji yangu ya kingono. 

Baada ya siku kwenda, alifunga virago na kuniacha hoi hapo ndoa ile ilikuwa imeshavunjika. Baada ya wiki moja nilikutana na rafiki yangu Sharon na kumweleza yaliyokuwa yamenukumba.

 Alisema kuwa pia yeye alikuwa na masumbuko yale kwenye ndoa mingi alizokuwa ameingia lakini daktari Kiwanga alimpa mwanga kamili maishani na mwishowe ndoa akifaulu kusimama hadi wakati huu. 

Nilifunga safari kuelekea kwa daktari Kiwanga kwa ajili ya mwamko mpya. Alinishughulikia na nikarejea nyumbani. Baada ya siku tatu, nilifanikiwa kupata mume mtanashati ambaye alikuwa daktari na hapo tukafunga ndoa. Tangu nitembelee daktari Kiwanga ndoa yetu imekua na kupigiwa mfano na wengi kwani tumeishi kwa amani na upendo bila ya mamishano au mtafaruko wowote. Baadaye tulifanikiwa kupata watoto watatu na mume wangu na maisha yakawa shwari kabisa. 

Daktari Kiwanga ana uwezo wa kutatua shida za kindoa kama vile alivyotatua yangu, anauwezo pia wa kutatua migogoro ya mashamba kwenye jamii kando na mambo mengine yanayokuwa yanakukosesha usingizi. Anatibu magojwa kama vile kifafa, kifua kikuu na mengineyo kwa siku tatu pekee. Waweza kumpata Dkt. Kiwanga kupitia wavuti www.kiwangadoctors.com barua pepe kiwangadoctors@gmail.com au piga simu kwa nambari +254769404965.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments