MALUNDE 1 BLOG
  • Habari
  • Shinyanga
  • Michezo
  • Burudani
  • Matukio
  • Magazeti
  • Nyimbo za asili
Homehabari

WASICHANA WANG'ARA MATOKEO KIDATO CHA NNE...TAZAMA HAPA MATOKEO

Anonymous -Sunday, January 16, 2022 0

Wasichana wameng'ara zaidi kwenye orodha ya wanafunzi 10 bora kitaifa kwenye matokeo ya kidato cha nne 2021

Hayo yamebainishwa Januari 15, 2022 na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani (Necta), Dk Charles Msonde wakati akitoa taarifa ya matokeo ya darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne.

Matokeo hayo yanaonyesha wasichana wanane wameingia kwenye orodha ya wanafunzi kumi bora waliofanya vizuri kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliifanyika Novemba mwaka jana.

Kati ya hao, wasichana saba wanatoka shule ya St. Francis Girls iliyopo mkoani Mbeya, msichana mwingine akitoka shule ya Bright Future Girls huku wavulana pekee walioingia kwenye kumi bora kitaifa wakitoka shule za Feza Boys ya Dar es Salaam na Ilboru ya Arusha.

Walioingia kwenye orodha hiyo ni pamoja na Consolata Lubuva, Buthoi Nkangaza, Wilihelmina Mujarifu, Glory Mbele na Mary Ngoso, wote kutoka shule ya St. Francis Girls iliyopo mkoani Mbeya.

Bonyeza kila kiungio hapa chini kuona matokeo husika;

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2021

MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2021

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2021

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2021

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527
Tags habari matukio
  • Facebook
  • Twitter

0/Post a Comment/Comments

Post a Comment

Follow Us

HABARI KALI MWEZI HUU

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO MEI 31,2023

Wednesday, May 31, 2023

MHADHIRI WA CHUO KIKUU AKUTWA AMEFARIKI KITANDANI

Wednesday, May 31, 2023

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI MEI 28,2023

Sunday, May 28, 2023

MCHAKATO WA KUREKEBISHA SHERIA YA NDOA 1971, WADAU WASISITIZA MIAKA 18

Wednesday, May 31, 2023

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JUNI 1,2023

Thursday, June 01, 2023

WADAU WA USAFIRI WA ANGA WAKUTANA KWENYE UWANJA WA NDEGE IBADAKULI - SHINYANGA... UKARABATI NA UPANUZI KUKAMILIKA 2024

Tuesday, May 30, 2023

Recents

[getWidget results='3' label='recent' type='list']

Comments

[getWidget results='3' label='comments' type='list']
MALUNDE 1 BLOG

HABARI MPYA

[getWidget results='3' label='recent' type='list']

CHAGUA HABARI

  • AfricanDoctors
  • afya
  • agizo
  • Bakongwa
  • burudani
  • habari
  • Habari za Kimataifa
  • Habari za Kitaifa.
  • hoteli
  • ikulu
  • jambo
  • kiwanga
  • magazetini
  • makala
  • malunde
  • mapenzi
  • mastaa
  • Matangazo
  • matukio
  • meridianbet
  • michezo
  • michezo habari
  • nyimbo za asili
  • PAP
  • sherehe
  • shinyanga
  • siasa
  • tamthilia
  • tangazo
  • utamaduni
  • utamaduni lake zone
  • video
  • vituko

Search Here

Recent Gedgets

[getWidget results="3" label="recent" type="list"]

Tags

  • AfricanDoctors
  • afya
  • agizo
  • Bakongwa
  • burudani
  • habari
  • Habari za Kimataifa
  • Habari za Kitaifa.
  • hoteli
  • ikulu
  • jambo
  • kiwanga
  • magazetini
  • makala
  • mapenzi
  • mastaa
  • Matangazo
  • matukio
  • meridianbet
  • michezo
  • nyimbo za asili
  • sherehe
  • shinyanga
  • siasa
  • tamthilia
  • tangazo
  • utamaduni
  • utamaduni lake zone
  • video
  • vituko
MALUNDE 1 BLOG

About Us

Hii ni Blogu ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari, Matukio, Siasa, Magazeti, Nyimbo za asili na habari za kusisimua
Designed by - Bizoza
  • About
  • Privacy
  • Contact

Fomu ya Anwani