Breaking : TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE , KIDATO CHA PILI, DARASA LA NNE NA QT 2021


Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) Januari 15, 2022 limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa kidato cha Nne, mitihani iliyofanyika Novemba 2021. NECTA pia imetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne, mtihani wa maarifa, kidato cha pili na darasa la nne.


Bonyeza kila kiungio hapa chini kuona matokeo husika;

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post