CHAMA ATAMBULISHWA RASMI SIMBA SCKlabu ya Simba leo Januari 14, 2022 imethibitisha kukamilisha usajili wa kwa kiungo mshambuaji wa Zambia Clatous Chota Chama.

Chama amejiunga na Simba akitokea Rs Berkane ya Morocco kwa mkataba wa miaka miwili.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post