Makamu Wa Rais Aanza Ziara Mkoani Kigoma - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Tuesday, December 14, 2021

Makamu Wa Rais Aanza Ziara Mkoani Kigoma


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kigoma mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo desemba 14,2021 kwaajili ya ziara ya kikazi katika mkoa huo.Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages