Breaking

Post Top Ad

Saturday, November 20, 2021

HOTELI YA VILLA DE COCO YATEKETEA KWA MOTOHoteli ya Villa de Coco iliyopo Jambiani, Zanzibar imeungua kwa moto usiku wa kuamkia hii leo Novemba 20, 2021, na taarifa zinaeleza kwamba moto huo umeendelea kuunguza Cobe Hoteli na ukainga Fun Beach na sasa umefika maeneo ya barabarani kwa sababu ya upepo.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages