RAIS MWINYI AZINDUA KIWANDA CHA ZANZIBAR HANDMADE COSMETICS


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata Utepe Kuzindua Kiwanda cha Zanziba Handmade Cosmetics. Rais Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi aliongozana na mke wake 1st Lady Mariam Mwinyi pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, Zanzibar.
Rais wa Zanzibar wa Awamu ya Nane, na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi Akishihudia Baadhi ya Bidhaa zinazozalishwa na kiwanda hicho. Mkurugenzi wa kampuni ya Shear illusions akitoa maelekezo kwa Mhe. Rais Mwinyi na wageni mbalimbali kuhusu bidhaa zinazozalishwa kiwandani hapo. Rais wa Zanzibar wa Awamu ya Nane na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi Akimsikiliza Mkurugenzi wa Shear Illusions Africa, Mama Shekha Nasser Ambaye Ndiye Mwekezaji wa Kiwanda cha Zanzibar Handmade Cosmetics.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments