Breaking

Post Top Ad

Tuesday, November 2, 2021

ANTONIO CONTE ATHIBITISHWA KUWA KOCHA MKUU WA TOTTENHAMKlabu ya soka ya Tottenham imemthibitisha Antonio Conte kuwa kocha wao mkuu baada ya kumtimua Nuno Espírito Santo. Conte mwenye miaka 52, aliachana na Inter Milan baada ya kuipa ubingwa wa Italia msimu uliopita wa 2020-21.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages