WATU TISA WAFARIKI DUNIA AJALI YA BASI LA EMIGRACE | MALUNDE 1 BLOG

Saturday, October 2, 2021

WATU TISA WAFARIKI DUNIA AJALI YA BASI LA EMIGRACE

  Malunde       Saturday, October 2, 2021

Watu tisa wamefariki dunia na wengine wamejeruhiwa baada ya basi  la Emigrace linalofanya safari zake kati ya Babati Mkoa wa Manyara na Dar es Salaam kupinduka.

Ajali hiyo imetokea leo Jumamosi Oktoba 2, 2021  katika mteremko wa milima ya Kolo Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma.

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Besta Magoma amesema miili ya watu hao imehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Kondoa.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post