BENKI YA NMB TAWI LA WAMI MOROGORO YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Benki ya NMB tawi la Wami mkoani Morogoro leo Jumatatu Oktoba 4,2021 imezindua Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kusherehekea na wateja wao na kuahidi kuboresha huduma hasa upande wa digitali ili kumuwezesha mteja kujihudumia mwenyewe. Picha na Jackline Lolah Minja
Meneja wa Benki ya NMB  tawi la  Wami Morogoro, Josephat Alone Mwaipaja  akizungumza na wateja pamoja na wafanyakazi wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments