RAIS SAMIA AMUAPISHA MATHEW KIRAMA KUWA KATIBU WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA NA BALOZI MHE. TOGOLANI MAVURA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Monday, September 27, 2021

RAIS SAMIA AMUAPISHA MATHEW KIRAMA KUWA KATIBU WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA NA BALOZI MHE. TOGOLANI MAVURA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mathew Modest Kilama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 27 Septemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Togolani Edriss Mavura kuwa Balozi wa Tanzania nchini Korea ya Kusini katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 27 Septemba, 2021.
Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Mathew Modest Kilama akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Korea ya Kusini Togolani Edriss Mavura wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 27 Septemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Viongozi katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Mathew M. Kirama na Balozi Mhe. Togolani E. Mavura, leo Ikulu, Chamwino Dodoma.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages