MAADHIMISHO YA SIKU YA UTALII DUNIANI JIJINI ABIDAN NCHINI IVORY COAST


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akiwa katika akifuatilia ya Siku ya Utalii Duniani Jijini Abidjan nchini Côte d' Ivoire leo. Kulia kwake ni Waziri wa Maendeleo ya Utalii wa nchini Chad Faycal Ramat Issa.


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Sofitel Hotel Jijini Abidjan nchini Côte d' Ivoire kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Utalii yanayofanyika leo. Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Richie Wandwi.


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akiwasalimia machifu wa makabila mbalimbali ya nchini Côte d' Ivoire katika mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Utalii Duniani Jijini Abidjan nchini leo.


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akicheza ngoma za asili alipowasili katika mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Utalii Duniani jijini Jijini Abidjan nchini Côte d' Ivoire leo.


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akishiriki Jukwaa la Mawaziri wa Bara la Afrika katika Maadhimisho ya Siku ya Utalii Duniani Jijini Abidjan nchini Côte d' Ivoire leo.


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akishiriki Jukwaa la Mawaziri wa Bara la Afrika katika Maadhimisho ya Siku ya Utalii Duniani Jijini Abidjan nchini Côte d' Ivoire leo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments