Breaking

Post Top Ad

https://refpasrasw.world/L?tag=d_1066073m_7669c_&site=1066073&ad=7669

Sunday, September 19, 2021

SIMBA YACHAPWA KWENYE TAMASHA LAO 'SIMBA DAY'


Mchezo umekamilika Uwanja wa Mkapa na Simba SC imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe kwenye mchezo wa kirafiki katika tamasha la Simba Day leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Bao pekee la Baleke Jean dakika ya 84 limetosha kuwapa TP Mazembe ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Simba SC 

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages