MWALIMU AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUBAKA NA KUSAMBAZA VIRUSI VYA UKIMWI KWA BINTI - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Tuesday, August 3, 2021

MWALIMU AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUBAKA NA KUSAMBAZA VIRUSI VYA UKIMWI KWA BINTI


Mwalimu wa shule ya msingi Radienya, Wilfred Nyaroko Oliech, mkazi wa Mtaa wa Obwere wilayani Rorya mkoani Mara, amefikishwa mahakamani kwa makosa mawili ikiwemo kubaka na kusambaza maambukizi ya Virui vya Ukimwi kwa binti mwenye umri wa miaka 15 jina limehifadhiwa.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages