IGP SIRRO AKEMEA WANAOJIHUSISHA NA DAWA ZA KULEVYA | MALUNDE 1 BLOG

Friday, August 13, 2021

IGP SIRRO AKEMEA WANAOJIHUSISHA NA DAWA ZA KULEVYA

  Malunde       Friday, August 13, 2021


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro ameitaka jamii kujiepusha na kuacha vitendo vya udhalilishaji na biashara ya dawa za kulevya kwani vyombo vya dola vitatumia sheria zilizopo kuwashughulikia wanaojihusisha na vitendo hivyo.

IGP Sirro amesema hayo leo wakati akifunga mafunzo ya uongozi mdogo wa Cheo cha Sajenti wa Polisi yaliyofanyika kwa muda wa miezi miwili katika Chuo cha Polisi Zanzibar ambapo jumla ya wahitimu 1297 walihitimu mafunzo hayo na kupandishwa vyeo.


Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post