BENKI YA EXIM YAJIVUNIA MAFANIKIO MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Wednesday, August 4, 2021

BENKI YA EXIM YAJIVUNIA MAFANIKIO MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI


Waziri wa Madini Doto Biteko (katikati) akikabidhi cheti cha ushiriki wa Maonesho ya Biashara na Madini kwa Kaimu Meneja wa Benki ya Exim tawi la Shinyanga Bi. Sarah Titoi kiwa ni ishara ya kutambua mchango na ushiriki wa benki hiyo kwenye maonesho hayo yaliyohitimishwa hivi karibuni mkoani Shinyanga. Wengine ni pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati (kushoto) na Mwenyekiti wa Tume yaMadini Tanzania Prof .Idris Kikula.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages