CRDB YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA KAMPENI YA SIMBANKING MZIGO PROMOSHENI | MALUNDE 1 BLOG

Monday, August 9, 2021

CRDB YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA KAMPENI YA SIMBANKING MZIGO PROMOSHENI

  Malunde       Monday, August 9, 2021

Mshindi wa pili wa kampeni ya ‘SimBanking Mzigo Promosheni’, Madina Ramadhani akikabidhiwa gari lake na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi kutoka Benki ya CRDB, Steve Adili katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini Dodoma, leo, Agosti 9,2021.
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi kutoka Benki ya CRDB, Steve Adili akionyesha funguo ya gari aina ya Toyota IST aliloshinda mshindi wa pili wa kampeni ya ‘SimBanking Mzigo Promosheni’, Madina Ramadhani (wa tatu kushoto) wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi hiyo jijini Dodoma, leo, Agosti 9,2021. Wa pili kulia ni Meneja wa CRDB Kanda ya Kati, Chabu Miswaro.
Mshindi wa pili wa kampeni ya ‘SimBanking Mzigo Promosheni’, Madina Ramadhani (katikati) akionyesha funguo na namba za gari mara baada ya kuibuka msihindi wa kampeni hiyo katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma, leo, Agosti 9,2021. Wengine ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi kutoka Benki ya CRDB, Steve Adili (kulia) pamoja na Meneja wa CRDB Kanda ya Kati, Chabu Miswaro (wa tatu kushoto).
Mshindi wa pili wa kampeni ya ‘SimBanking Mzigo Promosheni’, Madina Ramadhani akipongezwa na Meneja wa CRDB Kanda ya Kati, Chabu Miswaro mara baada ya mshindi huyo kukabidhiwa zawadi yake ya gari aina ya Toyota IST katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma, leo, Agosti 9,2021.
Mshindi wa pili wa kampeni ya ‘SimBanking Mzigo Promosheni’, Madina Ramadhani (katikati) akizungumza mara baada ya mshindi huyo kukabidhiwa zawadi yake ya gari aina ya Toyota IST katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma.
Mshindi wa pili wa kampeni ya ‘SimBanking Mzigo Promosheni’, Madina Ramadhani (katikati) akifurahi pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi kutoka Benki ya CRDB, Steve Adili (kulia) pamoja na Meneja wa CRDB Kanda ya Kati, Chabu Miswaro mara baada ya mshindi huyo kukabidhiwa zawadi yake ya gari aina ya Toyota IST katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma.

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post