Tanzia : MMILIKI WA MABASI YA SUMRY AFARIKI DUNIA | MALUNDE 1 BLOG

Monday, August 9, 2021

Tanzia : MMILIKI WA MABASI YA SUMRY AFARIKI DUNIA

  Malunde       Monday, August 9, 2021


Mfanyabiashara mkubwa aliyekuwa mmoja wa wamiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu Agosti 09, 2021 jijini Dar es Salaam.

Chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika na anatarajiwa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam.

Enzi za uhai wake, Sumry aliyekuwa na makazi yake, Nkasi mkoani Rukwa alikuwa akifanya biashara ya usafirishaji wa abiria kupitia mabasi ya Sumry na baadaye, aliamua kuachana na biashara hiyo na kuwekeza katika kilimo.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post