Breaking

Post Top Ad

https://refpasrasw.world/L?tag=d_1066073m_7669c_&site=1066073&ad=7669

Friday, August 13, 2021

Picha : RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZO NA MHANDISI AHMED EL SEWEDY RAIS NA MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA ELSEWEDY ELECTRIC YA NCHINI MISRIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mhandisi Ahmed El Sewedy Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Elsewedy Electric ya Nchini Misri mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 13 Agosti, 2021. PICHA NA IKULU.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages