PROMOSHENI YA SHINDA NA BALIMI EXTRA LAGER YAZIDI KULETA SHANGWE KANDA YA ZIWA | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, August 22, 2021

PROMOSHENI YA SHINDA NA BALIMI EXTRA LAGER YAZIDI KULETA SHANGWE KANDA YA ZIWA

  Malunde       Sunday, August 22, 2021

Mkazi wa Mwanza,Monica Andrew (katikati) akifurahia Power Tiller aliyojishindia kupitia droo ya 5 ya promosheni ya Shinda na Balimi Extra Lager inayoendeshwa na kampuni ya TBL katika mikoa ya kanda ya ziwa,hafla ya kukabidhiwa ilifanyika Kisesa mwishoni mwa wiki,Kulia ni Mkuu wa mauzo wa TBL Kanda ya Ziwa, Issa Makani.
Meneja wa Mauzo wa TBL mkoa wa Kagera, Yuda Lyanga ,akiongea wakati wa hafla ya kumkabidhi Power Tiller Mshindi Kutoka Kayanga –Karagwe, Bi Jamila Emanuel (katikati) . Hafla hiyo ilifanyika Omurushaka wilayani Karagwe mwishoni mwa wiki.
Mkazi wa Geita mkoani Mwanza,Yudas Mgabu, akiwa amekalia Power Tiller aliyojishindia kupitia droo ya 5 ya promosheni ya Shinda na Balimi Extra Lager inayoendeshwa na kampuni ya TBL katika mikoa ya kanda ya ziwa,hafla ya kukabidhiwa ilifanyika Usagara Geita mwishoni mwa wiki.

**
Promosheni ya Shinda na Balimi Extra Lager inayoendeshwa na kampuni ya TBL katika mikoa ya kanda ya ziwa inazidi kuleta shangwe kwa wakazi wa mikoa ya kanda ya ziwa ambapo washindi wa droo za wiki wanaendelea kujishindia Power Tiller za kulimia na zawadi nyinginezo nyingi.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post