MME WANGU KANIFUKUZA KWA NYUMBA YETU BAADA KUGUNDUA KUWA ANATEMBEA NA MDADA WA KAZI

 

Najina naitwa Sharoni naishi katika mkoa wa Dar es salaam wilaya ya Temeke katika mtaa wa Kinesi, katika nyumba yetu tuko watu wa tatu pekee yaani mimi, mume wangu na mtoto wetu aitwaye Junior.

Mimi nafanya kazi katika Benki moja hapa mjini lakini pia mume wangu ni mfanyakazi wa kampuni ya kutengeneza magari iitwayo rivelers car maintance company, na mwanangu Junior anasoma katika shule ya chekechea St: Marrys School

Katika maisha yote tangu nianze kuishi na mume wangu tumekuwa katika hali ya furaha sana ukizingatia tumekuwa na uwezo wa kutatua shida zetu mbalimbali sisi wenyewe bila msaada wa mtu yoyote kwani Mungu ametujaalia uwezo wa kifedha.

Siku zilivyozidi kwenda ndipo kazi za nyumbani zilinizidia na kuamua kumshawishi mume wangu tutafute dada wa kazi za ndani ambaye pia atakuwa muangalizi wa mtoto wetu Junior kipindi ambacho sisi tupo kazini, jambo ambalo hata mume wangu aliliunga mkono kwani nilikua nachoka mno kufanya kazi za kiofisi na nyumbani.

Siku chache zilipita na nikawasiliana na mama yangu aishiye kijijini mkoani tanga na kumuomba msaada wa kunitafutia msichana wa kazi mama alilipokea ombi langu na baada ya siku mbili alinitaarifu kuwa amempata msichana huyo na kilichobaki ni mimi kutuma pesa kwa ajili ya nauli ya kumsafirisha kutoka tanga hadi dar es salaam.

Siku hiyo hiyo nilifanya kama mama alivyoniagiza na kutuma pesa kwa ajili ya nauli ya msichana wa kazi, kesho yake alifika Dar es salaam na kumuonyesha maeneo ya kazi na maelezo machache katika maongezi alijitambulisha kuwa anaitwa Mariamu.

Jioni mume wangu aliporejea kutoka kazini nilimfahamisha kuwa binti yule wa kazi ameshafika na kumtambulisha pia kwake, mume wangu alipokea utambulisho ule kisha kuingia chumbani na kupumzika.

Kwa siku chache nilifahamu kuwa Mariamu alikuwa ni binti shupavu kupitia utendaji wake wa kazi na mambo mengine jambo ambalo mimi na mume wangu lilitufurahisha sana, maisha yalisonga na baada ya miezi kadhaa mume wangu alipata likizo kazini kwake hivyo alikuwa anakaa nyumbani muda mwingi.

Mimi nilikuwa nikitoka asubuhi sana lakini kabla ya kuondoka nilikuwa namhakikishia mume wangu anapata na kila kitu, siku zilivyozidi kwenda mume wangu alikuwa akikataa nisimhudumie asubuhi yaani ile kabla ya kwenda kazini na kusema Mariamu yupo ataweza kufanya hayo badala yangu na kunisisitiza natakiwa kuwahi kazini.

Sikuwa na wasi wasi na mume wangu na kutambua kuwa anaelewa umuhimu wa kazi yangu ndiyo maana ameamua kufanya vile,

Siku zilienda na likizo ya mume wangu iliiisha na akarejea kazini kwake.

Kwa kawaida ilikuwa tunatumia usafiri mmoja ambapo yeye ananipitisha mimi kazini kwangu kisha anaondoka na kuelekea kazini kwake ratiba hii ilivunjika baada ya mume wangu kuanza kuchelewa kwenda kazini na nilipomuuliza alijibu kazi zimepungua kule ofisi kwao hivyo hakukuwa na haja ya kuwahi sana.

Siku zilienda na tulipeana zamu ya kupika kati ya mimi na Mariamu (mfanyakazi wangu) yaani yeye anapika siku zote ila mimi ni siku za Jumamosi na Jumapili yaani wikiendi, siku moja mume wangu alishauri tumuongezee mshahara mfanyakazi wetu na kusema kuwa alikuwa akifanya kazi nyingi na kwa usahihi.

Wazo lile lilinishangaza sana lakini sikupinga kwa kuwa mme wangu aliliona hilo na pia mshahara wa Mariamu ulikuwa unatoka katika mfuko wake kwahiyo nilikubariana na mume wangu juu ya suala lile.

Mara chache nilizokuwa napika yaani zile siku za Jumamosi na Jumapili mume wangu alikuwa analalamika chakula sio kizuri mara nyingine anasema chakula kina chumvi nyingi ila siku zingine ambazo alikua anapika mariamu alikua anasifia sana aina ya upishi ule wa Mariamu.

Hali ambayo ilinifanya nijitoe kwenye ratiba ya kupika na kumuachia mariamu siku zote apike yeye, haikuishia hapo mume wangu alianza kumletea zawadi mbali mbali na mara zingine kumtoa out mariamu wakiwa pamoja na junior ambaye ni mtoto wetu

Sikuona kuwa ni jambo baya kwa kuwa walikuwa wanatoka out na mtoto wetu junior na nikaacha maisha yasonge ila kwa hakika mume wangu alianza kubadilika mara kadhaa alikua anakataa kushiriki na mimi katika tendo la ndoa kwa kisingizio kuwa amechoka na kazi za siku hiyo.

Siku moja wakati naelekea kazini kiwa njiani nilishtuka na kugundua kuwa kuna kitu nimesahau na sio kingine bali ni simu yangu ya mkononi na mara moja niligeuza gari na kurudi nyumbani nilipofika niliingia moja kwa moja palikua kimya na sauti ya redio kutokea chumbani kwangu nilifahamu kuwa mume wangu yupo chumbani kwetu na kwa kuwa kulikuwa kimya basi Mariamu alikuwa kamsindikiza Junior shuleni.

Hivyo niliingia moja kwa moja mbaka chumbani kwangu, looh! Sikuamini nilichokikuta nilimkuta mume wangu na mariamu wakivunja amri ya tisa katika kitanda ambacho mimi na mme wangu tunalalia hapo hapo nilimshika mariamu na kutaka kumpiga ila mume wangu aliniwahi na kuniafokea na kuniambia hanitaki tena katika nyumba yake.

Niliondoka na kuelekea kwa rafiki yangu aitwaye Amina nilikuwa kama chizi asiyejua nini afanye nilipofika kwa amina alifahamu siko sawa na akaniuliza shida yangu, nilimweleza kilichonisibu na kunipokea nikae kwake kwa siku kadhaa huku tukitafuta njia ya kutatua tatizo hilo.

Rafiki yangu Amina alijaribu kuwasiliana na mme wangu ila hakupokea simu kwa kuwa alikuwa anaifahamu namba ya rafiki yangu huyo. Na hapo ndipo rafiki yangu Amina aliniambia imebaki njia moja tu ya kumaliza tatizo hilo ambayo kwa kumtaarifu mtaalamu wa mitishamba aitwaye Dr. Kiwanga na kunipatia namba hii +254 769404965.

Bila kupoteza muda niliwasiliana na bwana yule na kumweleza shida yangu aliniuliza maswali machache ikiwemo majina ya mume wangu na jina la mariamu na kunitaarifu kuwa atanisaidia bila kwenda ofisini kwao kiwangadoctors nilikata simu.

Baada ya siku mbili nilipigiwa simu na mume wangu akiniomba msamaha na kuniahidi hatorudia kile alichofanya na kusema kuwa hata yeye alikuwa hafahamu kwa nini alikua akiyafanya yale, nilimtaarifu Dk. Kiwanga na akasema kuwa mume wangu alirogwa ili anisahau kabisa mume wangu alimtimua mariamu na kunifata kwa rafiki angu na kwa sasa tunaishi maisha ya raha mustarehe na familia yangu.

Katika maongezi na kiwanga Doctors aliniambia kuwa wanatibu magonjwa sugu kama Sukari, kisonono na pressure. pia kiwangadoctors wanatatua shida kama kupata mpenzi wa ndoto Zako, kumfunga mme au mke asiende nje ya ndoa na mengine mengi wasiliana na kiwangadoctors kwa namba +254 769404965 , Barua pepe kiwangadoctors@gmail.com pia unaweza kuwapata kwa website yao www.kiwangadoctors.com.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments