BIDHAA ZA JAMBO ZATAWALA MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, July 28, 2021

BIDHAA ZA JAMBO ZATAWALA MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA

  Malunde       Wednesday, July 28, 2021
Kampuni ya Jambo Group Company Limited ya Mjini Shinyanga imeshiriki Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga kwa kuonesha na kuuza bidhaa mbalimbali inazozizalisha zikiwemo Juisi, Soda, Maji, Biskuti, Mikate na pipi.

Pichani ni Mfanyakazi wa Kampuni ya Jambo Group Company Limited ya Mjini Shinyanga Ramadhani Hamisi akionesha Mikate inayozalishwa katika Kampuni ya Jambo kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Julai 28,2021.

Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga yanayoongozwa na kauli mbiu “Uwekezaji wa Madini na Viwanda Shinyanga kwa Uchumi Endelevu” yameanza tarehe 23 Julai, yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 1 Agosti, 2021 katika uwanja wa Zainab Telack kijiji cha Butulwa kata ya Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mfanyakazi wa Kampuni ya Jambo Group Company Limited ya Mjini Shinyanga Esther Shambuli akionesha Biskuti zinazozalishwa katika Kampuni ya Jambo kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Julai 28,2021
Mfanyakazi wa Kampuni ya Jambo Group Company Limited ya Mjini Shinyanga Ramadhani Hamisi akionesha Pipi zinazozalishwa katika Kampuni ya Jambo kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Julai 28,2021
Mfanyakazi wa Kampuni ya Jambo Group Company Limited ya Mjini Shinyanga Esther Shambuli akionesha Juisi za Jambo kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Julai 28,2021
Wafanyakazi wa Kampuni ya Jambo Group Company Limited ya Mjini Shinyanga Ramadhani Hamisi na Esther Shambuli (kulia) wakionesha bidhaa zinazozalishwa katika Kampuni ya Jambo kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Julai 28,2021
Wafanyakazi wa Kampuni ya Jambo Group Company Limited ya Mjini Shinyanga Ramadhani Hamisi na Esther Shambuli (kulia) wakionesha bidhaa zinazozalishwa katika Kampuni ya Jambo kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Jumatano Julai 28,2021Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post