Tanzia : ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU SHINYANGA 'SHIREFA' BENESTA RUGORA AFARIKI DUNIA | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, June 30, 2021

Tanzia : ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU SHINYANGA 'SHIREFA' BENESTA RUGORA AFARIKI DUNIA

  Malunde       Wednesday, June 30, 2021

 

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Shinyanga (SHIREFA)  kwa muda mrefu Benesta Rugora amefariki dunia leo Jumatano Juni 30,2021 saa  8: 30 mchana wakati akiendelea kupata matibabu katika hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza.

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post