TUNDU LISSU ATUA KENYA KUZINDUA KITABU CHAKE KESHO


Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewasili jijini Nairobi nchini Kenya akitokea nchini Ubelgiji anakoishi ikielezwa kuwa yupo nchini humo kwa ajili ya uzinduzi wa kitabu chake cha Vivuli- Bunge na uwajibikaji kwa Afrika Mashariki, utakaofanyika kesho Ijumaa Juni 25,2021 katika hoteli ya Windsor.

Mwanasheria wake, Profesa George Wajackoya amethibitisha uwepo wa Lissu Nairobi Kenya na kwamba uzinduzi wa kitabu hicho utafanyika kesho Ijumaa Juni 25,2021.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments