Picha : MATUKIO MBALIMBALI WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, DKT. MWIGULU NCHEMBA AKIWASILISHA BAJETI LEO BUNGENI, JIJINI DODOMA | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, June 10, 2021

Picha : MATUKIO MBALIMBALI WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, DKT. MWIGULU NCHEMBA AKIWASILISHA BAJETI LEO BUNGENI, JIJINI DODOMA

  Malunde       Thursday, June 10, 2021

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba akionyesha Mkoba wa Bajeti Kuu ya Serikali yenye mapendekezo ya mpango wa tatu wa maendeleo wa taifa wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26, iliyowasilishwa Bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba akiingia bungeni tayari kwa kuwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali yenye mapendekezo ya mpango wa tatu wa maendeleo wa taifa wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha bungeni Bajeti Kuu ya Serikali yenye mapendekezo ya mpango wa tatu wa maendeleo wa taifa wa miaka mitano 2021/22 – 2025/26.

CHANZO - MICHUZI BLOG
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post