ZUMA AKANUSHA MASHTAKA YA UFISADI DHIDI YAKE | MALUNDE 1 BLOG

Thursday, May 27, 2021

ZUMA AKANUSHA MASHTAKA YA UFISADI DHIDI YAKE

  Malunde       Thursday, May 27, 2021


Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekana mashtaka yote 18 ya ufisadi anayokabiliwa nayo katika mahakama ya Pietermaritzburg nchini humo.

Jacob Zuma alisema anapinga makosa yote 18 ya ulaghai, ufisadi, ulaghai, ukwepaji wa kodi na utakatishaji fedha haramu.

Mashtaka hayo yanahusiana na matukio ya zaidi ya miongo miwili - katika siku za mwanzo za demokrasia ya Afrika Kusini - pamoja na mpango mkubwa wa silaha ..

Zuma na washirika wake wanasisitiza kuwa kesi hiyo ni ya kisiasa.Umati wa watu umekusanyika nje ya ukumbi wa mahakama huko Pietermaritzburg kuashiria kuwa Zuma bado ana umaarufu miongoni mwa wafuasi wake.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post