SERIKALI YAONGEZA SIKU TANO MAOMBI YA AJIRA ZA ELIMU NA AFYA | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, May 23, 2021

SERIKALI YAONGEZA SIKU TANO MAOMBI YA AJIRA ZA ELIMU NA AFYA

  Malunde       Sunday, May 23, 2021

 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu, ametangaza kuongeza muda wa kutuma maombi ya ajira zilizotangazwa na Wizara.

TAMISEMI ilipata kibali cha kuajiri walimu 6,949 na watumishi wa kada mbalimbali za Afya 2,726 ambapo mwisho wa kutuma maombi ulikuwa Mei 23, 2021.

Sasa muda umeongezwa hadi Mei 28, 2021 saa 5:59 usiku, walioshindwa kutuma maombi kwa changamoto yoyote wameshauriwa kufanya hivyo.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post