MAMA MKWE KANIFUKUZA NYUMBANI NIKIWA NA MIMBA YA MIEZI SABA,BAADA YA MME WANGU KWENDA DUBAI KUFANYA KAZI | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, May 19, 2021

MAMA MKWE KANIFUKUZA NYUMBANI NIKIWA NA MIMBA YA MIEZI SABA,BAADA YA MME WANGU KWENDA DUBAI KUFANYA KAZI

  Malunde       Wednesday, May 19, 2021
Nimeishi na mme wangu katika kipindi cha raha na shida,hakuna wakati ambao nilikuwa nimekata tamaa juu yake kwa sababu nilijua leo amekosa ila kesho atapata hiyo ndiyo kauli mbiu yangu tangu nianze mahusiano na yeye hadi ikafika hatua tukaoana.

Baada ya kuoana maisha yetu yalikuwa chini sana kiuchumi kutokana na kipato alichokuwa anapata mme wangu kutokana na kazi ambayo alikuwa anafanya. Kazi ambayo alikuwa anafanya mme wangu kabla ya kwenda Dubai alikuwa anaendesha pikipiki yanni kwa jina maarufu Bodaboda

Kazi hii alikuwa anaifanya hata kabla ya kunioa japo changamoto zilikuwa ni nyingi sana haswa kutoka kwa Boss wake. Mme wangu alipambana kama mwanaume kwa kipindi cha miaka mitatu. Ndani ya hiyo miaka tuliweza kupata mtoto wetu wa kwanza hivyo majukumu kwake yakawa tofauti kwa sababu familia imeongezeka.

Maisha yalidi kuwa magumu kwa kila mtu ilifikia hatua hata pesa ya kununua vifaa vya kujiifadhi kama mama wakati wa hedhi ilikosekana hivyo nikawa natumia njia tofauti za kujihifadhi japo kila mwezi hizo siku zikikaribia nilikuwa naona kama adhabu kubwa kutokana na njia niliyokuwa natumia kujihifadhi.

Huwezi kununua vifaa vya kujihifadhi kwa mwezi hali ya kuwa ndani hamna chakula,sukari,chumvi na isitoshe mtoto anataka kula.

Siku moja mme wangu alitoka kazini na kuniambia kuwa kuna rafiki yake alisoma nae katika shule ya msingi na hivi sasa anafanya kazi Dubai hivyo anahitaji kwenda Dubai kufanya kazi kwa sababu anaona maisha yanazidi kuwa magumu kila kukicha.

Kutokana na hali ya maisha sikuwa na pingamizi juu yake japo moyo uliniuma kwa sababu nilijua nitamiss uwepo wake nyumbani. Kabla hajaenda Dubai aliwataarifu ndugu na jamaa zake kuwa anasafiri pia aliwataarifu  kwa sababu mimi nilikuwa na mimba ya miezi miwili hivyo kwa namna moja au nyingine nitaitaji msaada mkubwa muda wa kujifungua.

Siku ziliwadia kisha mme wangu akasafiri na kuelekea Dubai. Alifika salama na kuanza majukumu ya kazi yake kama rafiki yake alivyokuwa amemwambia. Mimi nilibaki nyumbani na mtoto wangu mmoja pamoja na mimba ila sikuwa na wasiwasi zaidi maana familia yake ilikuwa ipo karibu na sisi.

Mme wangu alipopata mshahara wake wa kwanza alinitumia ili nipate pesa ya kula na kulipa watu ambao walimchangia kupata nauri ya kwenda Dubai. Kitendo hicho kilifanya ndugu zake wawili pamoja na mama yake kuchukia kwa sababu waliona maisha yameanza kubadilika taratibu.

Chuki yao dhidi yangu iliongezeka ikafikia hatua nilisingiziwa hata kitu ambacho sijafanya,walikuwa wanamtumia ujumbe mme wangu kwa njia ya WhatsApp wanamwambia kuwa mimi naleta wanaume nyumbani hali ya kuwa sikuwai fanya kitu kama hicho.

Mme wangu alikuwa ananitumia zile messages wanazomtumia juu yangu na kuniambia kuwa nisiwe na wasiwasi kwa sababu yeye ananipenda hivyo hawezi kusikiliza maneno yao. Maisha kwa upande wa familia yake kwangu tukaanza kuishi kama simba na chui kwa msitu.

Siwezi tambua kipi kilitokea kwa sababu tulimariza miezi kama miwili kila mtu ana habari na mwingine ndipo MAMA MKWE alikuja asubui na mapema kwangu kuwa anahitaji kufunga nyumba ya mtoto wake.

Katika kujibizana nae ndipo ndugu wa mme wangu walianza kutoa vitu ndani kisha wakachukua mtoto wangu na kufunga nyumba. Nilijaribu kumtafuta mme wangu ili niweze mwambie kile kilichotokea ila sikumpata.

Jioni yake nilibeba mizigo yangu na kwenda kwa Shangazi yangu maana Shangazi yangu alikuwa anaishi mtaa jirani na mimi nilipokuwa nimeolewa. Nilimaliza wiki mbili sijampata mme wangu ili nimwambie familia yake ilivyonifanyia ndipo ndani ya wiki ya tatu Shangazi yangu akaniambia kuwa kutokana na umri wake anaona kuwa kuna kitu ambacho kipo nyuma ya pazia.

Baada ya kusema hivyo akaniambia kuwa kuna mtu ana uwezo wa kunisaidia kwa muda mfupi nirudi kwenye nyumba yangu bila kusumbuliwa na mtu yoyote. Alipomaliza alichukua simu yake na kunisomea namba +254768875707 kisha akaniambia kuwa niongee na Dr. Kiwanga juu ya shida yangu.

Sikuweza poteza muda niliwasiliana na Dr. Kiwanga hatimaye nikaambiwa nisubiri kwa masaa 78 pekee shida yangu itakuwa imeisha. Hata masaa 78 hayakuweza kuisha tangu niongee na Dr. Kiwanga mamamkwe alinipigia simu na kuniambia kuwa nirudi nyumbani na kuniomba msamaha.

Usiku huo huo mme wangu alinipigia simu direct na kuniambia kuwa walimwambia kuwa nimeolewa na mwanaume mwingine ndiyo maana alizima simu yake ila akaniambia kuwa leo ndugu zake na mama yake wenyewe wamempigia simu na kumwambia kuwa walikuwa wamemdanganya hivyo anaomba nirudi nyumbani.

Sikuweza kukataa ombi la mme wangu na baada ya week moja nilirudi nyumbani kwangu na baada ya miezi miwili mme wangu alirudi na kwa sasa tunaishi maisha mazuri yenye furaha na amani, asante kiwangadoctors

Kiwangadoctors wanatatua magonjwa sugu kama pressure,Sukari na nguvu za kiume. Pia kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali kama kurudisha mpenzi wako aliyekuacha,kushinda michezo ya bahati nasibu na mengine mengi.

Wasiliana na kiwangadoctors kwa namba +254768875707,Au tembelea website yao www.kiwangadoctors.com kupata taarifa zaidi

 

Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post