WABUNGE WATAKA WAZEE WA MABARAZA KUONGEZEWA POSHO | MALUNDE 1 BLOG

Wednesday, April 28, 2021

WABUNGE WATAKA WAZEE WA MABARAZA KUONGEZEWA POSHO

  Malunde       Wednesday, April 28, 2021


Wabunge  wameishauri Serikali kurejea upya viwango vya posho za wazee wa mabaraza ya Sh5,000 kwa kesi wakidai ni fedha kidogo.

Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti, Sillo  Baran ameyasema hayo leo Jumatano Aprili 28, 2021 wakati akiwasilisha maoni ya kamati hiyo kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya mfuko wa mahakama kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Amesema kamati inaendelea kuishauri Serikali kuhusu kurejewa upya kwa viwango vya posho za wazee wa mabaraza ambao wanalipwa Sh5,000 tu kwa kesi kiasi ambacho ni kidogo  ikizingatiwa muda unaochukua kesi kuamuliwa.

“Hatua hii itasaidia kuziba mianya ya rushwa lakini pia itaongeza motisha, tija na ufanisi katika kazi za mabaraza husika,” amesema.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post