Picha : MAMA JANETH MAGUFULI AKIWA KANISANI KATIKA 40 YA HAYATI MAGUFULI | MALUNDE 1 BLOG

Tuesday, April 27, 2021

Picha : MAMA JANETH MAGUFULI AKIWA KANISANI KATIKA 40 YA HAYATI MAGUFULI

  Malunde       Tuesday, April 27, 2021

Mama Janeth Magufuli, Mjane wa aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli akiwa na Mama Marry Majaliwa, Mke wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakiwa na Mapadri wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro – Oysterbay mkoani Dar es salaam mara baada ya kumalizika kwa Misa Takatifu ya kumuombea Hayati Magufuli ikiwa ni siku ya 40 toka afariki dunia Machi 17 mwaka huu.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post