Salvation Gospel Choir wameungana na Watanzania kuomboleza Kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa wimbo walioupa jina la Giza Limetanda...Tazama Video Hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google
Playstore Bofya
Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi
kupitia malundeblog@gmail.com
TAFUTA HABARI
Social Plugin