Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo March 30,2021 ameshiriki katika kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambacho ni kikao Maalum kinachoendelea Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Jijini Dodoma.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako