BONANZA LA MPIRA WA MIGUU KWA WATOTO KURINDIMA SHINYANGA JUMAMOSI HII

 

Mafunzo kwa Vitendo yakiendelea katika uwanja wa mpira wa Miguu wa shule ya Sekondari Don Bosco Didia-Shinyanga.

                    Na Josephine Charles - Malunde1 blog

Bonanza la Mpira wa Miguu kwa watoto wadogo kuanzia miaka 4 mpaka 12 yaani FIFA Grass Roots linatarajiwa kufanyika katika uwanja wa Shule ya Sekondari Don Bosco Didia iliyopo Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Mkoani Shinyanga Jumamosi ya tarehe 20 mwezi March 2021.

Hayo yamesemwa na Mratibu wa Grass Roots Mkoa wa Shinyanga Fr. Joachim Michael pamoja na Meneja Ufundi TFF Grass Roots Mkoa wa Shinyanga Mwalimu Daniel Mbilinyi wakati wa mahojiano maalum na Malunde1 blog na kusema kwamba bonanza hilo litaanza majira ya saa mbili asubuhi.

Wamesema Bonanza hilo ni mahususi kwa watoto wa shule za msingi zinazopatikana katika kata zinazozunguka eneo la Don Bosco zikiwemo kata za Didia,Puni,Nyida,ILola,Imesela na Itwangi,na hiyo ni baada ya kutolewa kwa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari Takriban 22 kutoka kata hizo ambayo yalifanyika Jumamosi ya 13 March 2021  katika Shule ya Sekondari Don Bosco.

Bonanza hilo litakalofanyika Jumamosi Machi, 20 2021 ni mwendelezo wa Mafunzo yaliyotolewa siku ya Jumamosi ya tarehe 13 March 2021 ambalo litahusisha wasatani wa watoto 120 wakike nawa kiume wa Darasa la Kwanza,Pili,Tatu,Nne,Tano,Sita,Saba na baadhi ya wanafunzi wa Kidato cha Kwanza.

Aidha Lengo ni kuwafundisha watoto wadogo wenye umri kuanzia miaka 4 hadi 12  pamoja na kuwajengea msingi wa soka tangu wakiwa wadogo katika Mkoa wa Shinyanga pia kuona namna Waalimu waliopatiwa mafunzo wanavyoweza kuwasimamia na kufundisha watoto hao wadogo wakike nawa kiume.

Tazama Picha hapa chini.

Meneja Ufundi TFF Grass Roots Mkoa wa Shinyanga Mwalimu Daniel Mbilinyi ambaye pia ni Mwalimu wa shule ya Sekondari Nyihogo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama akitoa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari kutoka kata za Didia,Puni,Nyida,ILola,Imesela na Itwangi katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Don Bosco Didia-Shinyanga.Meneja Ufundi TFF Grass Roots Mkoa wa Shinyanga Mwalimu Daniel Mbilinyi ambaye pia ni Mwalimu wa shule ya Sekondari Nyihogo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama akitoa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari kutoka kata za Didia,Puni,Nyida,ILola,Imesela na Itwangi katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Don Bosco Didia.

Meneja Ufundi TFF Grass Roots Mkoa wa Shinyanga Mwalimu Daniel Mbilinyi ambaye pia ni Mwalimu wa shule ya Sekondari Nyihogo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama akitoa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari kutoka kata za Didia,Puni,Nyida,ILola,Imesela na Itwangi katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Don Bosco Didia.
Waalimu wa Michezo wakifuatilia kwa  Mafunzo hayo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Don Bosco wakifuatilia Mafunzo hayo.
Waalimu wa Michezo wakifuatilia kwa  Mafunzo hayo.
Meneja Ufundi TFF Grass Roots Mkoa wa Shinyanga Mwalimu Daniel Mbilinyi ambaye pia ni Mwalimu wa shule ya Sekondari Nyihogo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama akiendelea kutoa Mafunzo kwa Vitendo.
Meneja Ufundi TFF Grass Roots Mkoa wa Shinyanga Mwalimu Daniel Mbilinyi ambaye pia ni Mwalimu wa shule ya Sekondari Nyihogo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama akiendelea kutoa Mafunzo kwa Vitendo.
Meneja Ufundi TFF Grass Roots Mkoa wa Shinyanga Mwalimu Daniel Mbilinyi ambaye pia ni Mwalimu wa shule ya Sekondari Nyihogo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama akiendelea kutoa Mafunzo kwa Vitendo.
Meneja Ufundi TFF Grass Roots Mkoa wa Shinyanga Mwalimu Daniel Mbilinyi ambaye pia ni Mwalimu wa shule ya Sekondari Nyihogo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama akiendelea kutoa Mafunzo kwa Vitendo.
Baadhi ya Waalimu wa Michezo waliohudhuria Mafunzo,wakifundishwa kwa vitendo na Mkufunzi wa Mafunzo hayo Mwalimu Daniel Mbilinyi ambaye pia ni Meneja Ufundi TFF Grass Roots Mkoa wa Shinyanga ili nao wakawafundishe Wanafunzi wao.
Baadhi ya Waalimu wa Michezo waliohudhuria Mafunzo,wakionesha kwa vitendo yale waliyofundishwa na Mkufunzi wa Mafunzo hayo Mwalimu Daniel Mbilinyi ambaye pia ni Meneja Ufundi TFF Grass Roots Mkoa wa Shinyanga ili nao wakawafundishe Wanafunzi wao.
Baadhi ya Waalimu wa Michezo waliohudhuria Mafunzo,wakionesha kwa vitendo yale waliyofundishwa na Mkufunzi wa Mafunzo hayo Mwalimu Daniel Mbilinyi ambaye pia ni Meneja Ufundi TFF Grass Roots Mkoa wa Shinyanga ili nao wakawafundishe Wanafunzi wao.
Baadhi ya Waalimu wa Michezo na Wanafunzi waliohudhuria Mafunzo,wakionesha kwa vitendo yale waliyofundishwa na Mkufunzi wa Mafunzo hayo Mwalimu Daniel Mbilinyi ambaye pia ni Meneja Ufundi TFF Grass Roots Mkoa wa Shinyanga ili nao wakawafundishe Wanafunzi wao.
Waalimu na Wanafunzi wakiwa katika Picha ya Pamoja baada ya Mafunzo ya TFF Grass Roots yaliyofanyika Katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Don Bosco 13/03/2021.Waliokaa wenye Tisheti Nyeupe kutoka Kulia ni Meneja Ufundi TFF Grass Roots Mkoa wa Shinyanga Mwalimu Daniel Mbilinyi ambaye pia ni Mwalimu wa Shule ya Sekondari Nyihogo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama na anayefuata ni Mratibu wa Grass Roots Mkoa wa Shinyanga Fr. Joachim Michael ambaye pia ni Mkuu wa Shule ya Sekondari Don Bosco Didia-Shinyanga na anayefuata Ni Mwalimu Musa Nditi ambaye ni Mwalimu wa Michezo Shule ya Sekondari Don Bosco.
Waalimu na Wanafunzi wakiwa katika Picha ya Pamoja baada ya Mafunzo ya TFF Grass Roots yaliyofanyika Katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Don Bosco 13/03/2021.Waliokaa wenye Tisheti Nyeupe kutoka Kulia ni Meneja Ufundi TFF Grass Roots Mkoa wa Shinyanga Mwalimu Daniel Mbilinyi ambaye pia ni Mwalimu wa shule ya Sekondari Nyihogo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama na anayefuata ni Mratibu wa Grass Roots Mkoa wa Shinyanga Fr. Joachim Michael ambaye pia ni Mkuu wa Shule ya Sekondari Don Bosco Didia-Shinyanga na anayefuata Ni Mwalimu Musa Nditi ambaye ni Mwalimu wa Michezo Shule ya Sekondari Don Bosco.
Baadhi Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Don Bosco Didia wakiwa katika Mazoezi uwanjani mara baada ya kupewa Mafunzo kwa Nadharia.
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Don Bosco Didia wakiwa katika Mazoezi uwanjani mara baada ya kupewa Mafunzo kwa Nadharia.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Don Bosco Didia wakiwa wamejipanga kimichezo baada ya kufanya mazoezi uwanjani ikiwa ni sehemu ya Mafunzo waliyopewa.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Don Bosco Didia wakiwa wamejipanga kimichezo baada ya kufanya mazoezi uwanjani ikiwa ni sehemu ya walichojifunza.

Picha zote na Josephine Charles.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments