Video : UMOJA WA WAIMBAJI MWANZA - TUTAKUKUMBUKA MAGUFULI


Umoja wa Waimbaji Mwanza wameungana na Watanzania kuomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuimba wimbo maalumu Walioupa jina la Tutakukumbuka Magufuli.

 Miongoni mwa Waimbaji hao ni pamoja na Pascal Kadushi, Nema Ng'asha, Emmanuel Robert, Paul Peter, Vanessa Laban, Tumaini Lawi, Mariam Gerald, Emmanuel Francis, Betty Kageza, Double D Inano, Moses Matinde, Rebecca Msenyele, Happiness Shamawele, Victor Tumaini, Adolf Nzwala, Derick Ndonge, Happiness Mbwaga, Ben William na Naomi.

Umerekodiwa katika studio za Apex View, @Ben William​ , Video imekuwa directed na Dionis Godwine na Pascal Kadushi.

 TAZAMA VIDEO HAPA CHINIUPDATES ZOTE

Pakua / Download App ya Malunde 1 blog Tuwe tunakutumia taarifa zote moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa 

Bofya <<HAPA>> Mara Moja TuDownload/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post