SHIRIKA LA Actionaid LATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU HAKI NA UHUSIANO MAHALA PA KAZI


Aneny Nahum Wakili wa kujitegemea akiwasilisha mada kuhusu Haki na uhusiano wa wafanyakazi mahala pa kazi ambayo ni Shera namba 6 ya mwaka 2004 sura namba 366 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019 kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini. Semina hiyo inaendelea kwenye hoteli ya Coral Beach Masaki Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es salaam leo Jumamosi 13, 2021, Semina hiyo imeandaliwa na Shirika lilisilokuwa la Kiserikali la Actionaid.
( PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Amne Manangwa Meneja Miradi ya Wanawake shirika la Actionaid akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali katika semina kuhusu Haki na uhusiano ya wafanyakazi mahala pa kazi ambayo ni Shera namba 6 ya mwaka 2004 sura namba 366 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019 kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini. Semina hiyo inaendelea kwenye hoteli ya Coral Beach Masaki Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es salaam leo Jumamosi 13, 2021, Semina hiyo imeandaliwa na Shirika lilisilokuwa la Kiserikali la Actionaid.
Amne Manangwa Meneja Miradi ya Wanawake shirika la Actionaid akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali katika semina kuhusu Haki na uhusiano ya wafanyakazi mahala pa kazi ambayo ni Shera namba 6 ya mwaka 2004 sura namba 366 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019 kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini.
Baadhi ya waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakati wa semina hiyo inayoendelea kwenye hoteli ya Coral Beachi manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es salaam leo.
Baadhi ya waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakati wa semina hiyo inayoendelea kwenye hoteli ya Coral Beachi manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es salaam leo.

Bi. Fransisca Camilius Clement Mratibu wa Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi,Mahoteli, Majumbani na Kazi Nyinginezo Zanzibar CHODAWU- Z akiuliza swali wakati semina hiyo ikiendelea kulia ni Emmanuel Mabodo Afisa Mradi Shirika la Actionaid.
Emmanuel Mabodo Afisa Mradi Shirika la Actionaid akifuatilia mada katika semina hiyo inayoendelea kwenye hoteli yaCoral Beach.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post