RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma kwa mara ya kwanza tokea kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Machi 21,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa  alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma kwa mara ya kwanza tangu kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Machi 21,2021. Picha na Ikulu


UPDATES ZOTE

Pakua / Download App ya Malunde 1 blog Tuwe tunakutumia taarifa zote moja kwa moja kwenye simu yako bure kabisa 

Bofya <<HAPA>> Mara Moja Tu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments