WOMEN WITH VISION KUSHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MACHI 8


Shime Shime Wanawake na Wadada Wooote wa Shinyanga!!... Kikundi cha Wanawake Wajasiriamali mkoa wa Shinyanga maarufu 'Women With Vision' watakuwa na Jambo lao kuubwa Siku ya Wanawake Duniani 08.03.2021 ndani ya Ukumbi wa Empire Hotel Mjini Shinyanga!!

Njoo tusherehekee Siku ya Wanawake Duniani kwa kupata elimu ya maisha ikiwa ni pamoja na malezi Bora ya watoto na biashara kutoka kwa watu halisi waliofanikiwa.. Lakini pia tutakuwa na chakula Vinywaji na Burudani ya Nguvu..

Women With Vision pia tunawathamini na kuwajali watoto hivyo pia tutawapa zawadi wale watoto wadogo wanaozaliwa kabla ya siku katika hospitali zetu za hapa Shinyanga.

Tafadhali changia shilingi 30,000/- uwe pamoja nasi!

Mawasiliano : 0763 635 733 au 0763 852 377 au 0622 570 833

Wanawake Tukiungana Pamoja Tutajenga Jamii BoraDownload/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post