Tanzia : MWANDISHI WA HABARI WA ITV NA RADIO ONE VEDASTO MSUNGU AFARIKI DUNIA


Vedasto Msungu enzi za uhai wake
**
Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa ITV na Radio One Stereo aliyebobea katika habari za Mazingira Vedasto Msungu amefariki dunia leo saa 11 jioni Jumatano Februari 17,2021 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Morogoro, Nickson Mkilanya amethibitisha taarifa za kifo cha Vedasto Msungu na kueleza kuwa taarifa kuhusu msiba huo zitaendelea kutolewa. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post