Picha : RAIS MWINYI AONGOZA MAMIA WA WANANCHI KATIKA HITMA YA KUMUOMBEA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza Mamia ya Wananchi wa Zanzibar katika kisomo cha Hitma ya kumuombea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kilichofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kushoto kwa Rais) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Sita Alhajj Dk. Amani Karume.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza Mamia ya Wananchi wa Zanzibar katika kisomo cha Hitma ya kumuombea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad kilichofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kushoto kwa Rais) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza Mamia ya Wananchi wa Zanzibar katika kisomo cha Hitma ya kumuombea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Sita Alhajj Dk. Amani Karume.

WANANCHI wa Zanzibar wakishiriki katika kisoma cha Hitma ya kumuombea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, kilichofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Zanzibar katika kisomo cha Hitma kumuombea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, kilichofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Lela Mohamed Mussa.
SHEIKH Abubakar Al-Khashim akihitimisha kisomo cha Hitma ya kumuombea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, kilichofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi baada ya kumalizika kwa hafla ya kisomo cha Hitma kumuombea aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, kilichofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post