Home »
habari
» WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAPOKEZI YA MWILI WA BALOZI KIJAZI
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAPOKEZI YA MWILI WA BALOZI KIJAZI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ameongoza mapokezi ya mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John William Kijazi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere (JNIA). Mwili wa marehemu Balozi Kijazi utaagwa kesho Ijumaa Februari 19, 2021 katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam na kisha kusafirishwa kwenda Wilayani Korogwe, Tanga kwa ajili ya mazishi.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa