RAIS MAGUFULI AMTUMBUA MKURUGENZI WA MANISPAA YA KINONDONI


Aron Kagurumjuli

Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Aron Kagurumjuli na kwamba uteuzi wa mkurugenzi mwingine wa manispaa hiyo utafanywa baadaye.

Kagurumjuli aliteuliwa na Magufuli Julai 7, 2016 siku ambayo kiongozi huyo aliteua wakurugenzi wa halmashauri za majiji 5, Manispaa 21, Miji 22 na Wilaya 137 za Tanzania Bara.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post