RAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI TABORA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nzega wakati akielekea Tabora mjini leo tarehe 29 Januari 2021. Picha na Ikulu
Sehemu ya Wananchi wa Kata ya Nata Tabora vijijini wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza nao wakati akielekea Tabora.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Uyui mkoani Tabora mara baada ya kuwasili wakati akitokea Kahama mkoani Shinyanga leo tarehe 29 Januari 2021.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post